KATIKA KUHAKIKISHA JUHUDI ZA RAHISI SASA COMPANY YA SMILE WE-CARE IMEKUJA KWA KUHAKIKISHA TANZANIA YA VIWANDA
Na Doreen Aloyce ,Dodoma KATIKA kuhakikisha juhudi za Mh.Rais John Magufuli ya Serikali ya viwanda zinaendelea ,Kampuni ya Smile we care inayojihusisha kukwamua watanzania kuwa na mafanikio kupitia ujuzi mbalimbali kwa kutengeneza bidhaa za biashara watu zaidi ya elfu tano nchini Tanzania wamenufaika na mafunzo hayo ambayo wamekuwa wakiyatoa. Hayo yalieelezwa jana na Msemaji wa Kampuni hiyo jijini Dodoma, Jane Mwenda wakati walipokuwa kwenye sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo yenye makao makuu jijini Dar es salaam ambayo ilienda sambamba na mafunzo ya utengenezaji wa sabuni,keki na bidhaa nyingine. Jane alisema maadhimisho hayo yamewakutanisha vijana zaidi ya 100 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania ambao kupitia mafunzo hayo yamekuwa tiija katika kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kampuni hiyo ilitokea nchini Naigelia. Alisema kampuni hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha wanamuunga mkono Rais John Magufuli kuwainua watanza...




















Maoni
Chapisha Maoni