KARIBU SMILE WE-CARE INTERNATIONAL COMPANY LIMITED
Yes Karibuuu *Karibuni Sana Wageni Wetu mliounganishwa na Mnaoendelea kuingia humuπ€π€π€ππ*
*❗SMILE WE CARE INTERNATIONAL COMPANY ❗* Ni Kampuni inayokuja na FURSA Za Aina Mbili kwa Jamii na Hasa Vijana Kama Mimi na wewe:
1️⃣ Fursa ya biashara Ambayo itakuwezesha kukuongezea Kipato Chako pasipokuathili shughuli zako zingine uuzifanyazo .....kwatumia simu yako ya mkononi au laptop yako***(Financial Freedom)* pia
2️⃣ Fursa ya Mafunzo Mbali2 ya *UJASIRIAMALI* _Kama utengenezaji wa Sabuni Aina zote, dawa za kuua wadudu, Batiki, saloon, Masuala ya IT Mfn ufungaji wa CCTV Camera, Ufugaji wa kisasa na Kilimo na Mengine Meengi zaidiπ_
*❗Zaidi Nipende kuwakaribisha WOOTE na darasa letu litaanza hapo saa tano kamili usiku huu niwaombe tuwe online kwa wakati huo ili tuanze pamoja
Karibuni sanaπ€π€πͺπͺ
Maoni
Chapisha Maoni